Ufafanuzi wa tabii katika Kiswahili

tabii

kitenzi elekezi

  • 1

    tenda jambo au fuata kama afanyavyo mwingine.

    iga, taba, fuata, tabahari

Asili

Kar

Matamshi

tabii

/tabi:/