Ufafanuzi wa tafiri katika Kiswahili

tafiri

kitenzi elekezi

  • 1

    fanyia mtu ghasia ili asiwe na makini ya kufanya jambo.

    tafishi, ghasi, sumbua

Asili

Kar

Matamshi

tafiri

/tafiri/