Ufafanuzi wa tafiti katika Kiswahili

tafiti

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya uchunguzi juu ya jambo fulani ili kupata hakika yake.

  • 2

    dadisi, peleleza, fatiisha, chunguza, chungua

Asili

Kar

Matamshi

tafiti

/tafiti/