Ufafanuzi wa taifisha katika Kiswahili

taifisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kuwa mali ya umma.

Matamshi

taifisha

/taIfi∫a/