Ufafanuzi wa taipureta katika Kiswahili

taipureta

nominoPlural taipureta

  • 1

    mashine ndogo inayotoa maandishi kama ya mashine ya kupigia chapa lakini inayotumia ukanda maalumu wenye wino unaofanya herufi zilizogongwa zitokeze kwenye karatasi.

Asili

Kng

Matamshi

taipureta

/taIpurɛta/