Ufafanuzi wa tajiriba katika Kiswahili

tajiriba, tajriba

nomino

  • 1

    uzoefu alionao mtu katika kutenda jambo.

Asili

Kar

Matamshi

tajiriba

/taŹ„iriba/