Ufafanuzi wa takia katika Kiswahili

takia

nominoPlural matakia

  • 1

    mto wa kukalia au kuegemea.

Matamshi

takia

/takija/