Ufafanuzi msingi wa talii katika Kiswahili

: talii1talii2

talii1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~iana

 • 1

  soma kwa mazingatio yale uliyokwisha kufundishwa.

  durusu

Asili

Kar

Matamshi

talii

/tali:/

Ufafanuzi msingi wa talii katika Kiswahili

: talii1talii2

talii2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa, ~iana

 • 1

  enda kwenye nchi ya kigeni au eneo usilolifahamu kwa mapumziko ili kuona jinsi lilivyo.

 • 2

  enda katika eneo fulani k.v. mbuga za wanyama kwa ajili ya kujiburudisha.

Asili

Kar

Matamshi

talii

/tali:/