Ufafanuzi wa tando katika Kiswahili

tando

nomino

  • 1

    mtego wenye kijumba kinachozuia samaki kutoka, wenye mikono miwili inayotoka kwenye kijumba hadi pwani, inayotumiwa kuwaongoza samaki kwenye kijumba hicho.

    wando, uzio

Matamshi

tando

/tandÉ”/