Ufafanuzi wa tangaa katika Kiswahili

tangaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~za

  • 1

    tajika kila mahali.

    ‘Habari hizi zimetangaa’
    zagaa, tapakaa, sambaa

Matamshi

tangaa

/tanga:/