Ufafanuzi wa tanzi katika Kiswahili

tanzi

nominoPlural matanzi

  • 1

    fundo la kamba au uzi ambalo huweza kulegezwa au kukazwa kwa kuvuta ncha moja ya kamba.

Matamshi

tanzi

/tanzi/