Ufafanuzi msingi wa tanzu katika Kiswahili

: tanzu1tanzu2tanzu3

tanzu1

nominoPlural tanzu

 • 1

  ‘Tanzu za mti’
  ‘Tanzu za fasihi’

Matamshi

tanzu

/tanzu/

Ufafanuzi msingi wa tanzu katika Kiswahili

: tanzu1tanzu2tanzu3

tanzu2

nominoPlural tanzu

 • 1

  kv -a tawi la kiwanda, shirika au kampuni fulani lenye kuzalisha au kuendesha biashara fulani maalumu.

  ‘Mkonge wana kampuni tanzu nyingi nchini’

Matamshi

tanzu

/tanzu/

Ufafanuzi msingi wa tanzu katika Kiswahili

: tanzu1tanzu2tanzu3

tanzu3

kielezi

 • 1

  neno la kusisitiza kutanzuka.

  ‘Ghafla kukatanzuka tanzu!’

Matamshi

tanzu

/tanzu/