Ufafanuzi wa tarajia katika Kiswahili

tarajia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    kuwa na matumaini ya kupata kitu au kufanikiwa.

    tazamia, tegemea, amania, tumai, rajua

Asili

Kar

Matamshi

tarajia

/taraʄija/