Ufafanuzi wa tarehe katika Kiswahili

tarehe

nominoPlural tarehe

  • 1

    siku ya mwezi inayotajwa kwa idadi.

    ‘Leo ni tarehe 23 Novemba’

  • 2

    historia

Asili

Kar

Matamshi

tarehe

/tarɛhɛ/