Ufafanuzi wa tarijama katika Kiswahili

tarijama

nominoPlural tarijama

  • 1

    historia ya mtu aliyoiandika mwenyewe.

Asili

Kar

Matamshi

tarijama

/tariʄama/