Ufafanuzi wa tatanua katika Kiswahili

tatanua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    panua kitu kigumu k.v. nondo za dirisha ili kupata nafasi ya kupita.

    babadua

Matamshi

tatanua

/tatanuwa/