Ufafanuzi wa tatarika katika Kiswahili

tatarika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    rukaruka k.v. bisi zinapokaangwa.

  • 2

    hangaika kwa kutojua la kufanya baada ya kufikwa na tatizo.

Matamshi

tatarika

/tatarika/