Ufafanuzi msingi wa tawa katika Kiswahili

: tawa1tawa2tawa3

tawa1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  kaa ndani kwa makusudi ili kutoonekana na wengi.

Matamshi

tawa

/tawa/

Ufafanuzi msingi wa tawa katika Kiswahili

: tawa1tawa2tawa3

tawa2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

Kidini
 • 1

  Kidini
  ishi maisha yanayofuata uadilifu wa dini, ya kujinyima raha za kidunia.

Asili

Kar

Matamshi

tawa

/tawa/

Ufafanuzi msingi wa tawa katika Kiswahili

: tawa1tawa2tawa3

tawa3

nominoPlural tawa

 • 1

  kikaango bapa kilichotengenezwa kwa madini.

Asili

Khi

Matamshi

tawa

/tawa/