Ufafanuzi wa tega! katika Kiswahili

tega!

kitenzi sielekezi~!, ~ea, ~eana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    kutoa kitendawili kwa hadhira ili kiweze kutolewa maana; kitendawili!.

Matamshi

tega!

/tɛga/