Ufafanuzi wa tegesha katika Kiswahili

tegesha

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    andaa au tayarisha kompyuta, simu ya mkononi au loho ya elektroniki ifanye kazi utakavyo.

Matamshi

tegesha

/tɛgɛ∫a/