Ufafanuzi msingi wa teke katika Kiswahili

: teke1teke2

teke1

nominoPlural mateke

  • 1

    pigo la mguu.

Matamshi

teke

/tɛkɛ/

Ufafanuzi msingi wa teke katika Kiswahili

: teke1teke2

teke2

kivumishi

  • 1

    laini, hasa kwa sababu ya kutokomaa.

    teketeke

Matamshi

teke

/tɛkɛ/