Ufafanuzi wa temua katika Kiswahili

temua

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya shimo katika mti k.v. wakati wa kutengeneza mzinga au kinu.

Matamshi

temua

/tɛmuwa/