Ufafanuzi wa teolojia katika Kiswahili

teolojia, thiolojia

nominoPlural teolojia

Kidini
  • 1

    Kidini
    taaluma ya tabia na sifa za Mungu na misingi ya imani za dini.

Asili

Kng

Matamshi

teolojia

/tɛɔlɔʄija/