Ufafanuzi wa tepurekoda katika Kiswahili

tepurekoda

nominoPlural tepurekoda

  • 1

    kifaa cha kurekodi mawimbi ya sauti kwenye tepu.

    kirekodisauti

Asili

Kng

Matamshi

tepurekoda

/tɛpurɛkɔda/