Ufafanuzi wa tetema katika Kiswahili

tetema

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    chezacheza kwa mwili kwa sababu ya baridi, homa au hofu.

Matamshi

tetema

/tɛtɛma/