Ufafanuzi wa thama katika Kiswahili

thama

kiunganishi

  • 1

    neno linalotumika kuonyesha jambo linalosababisha tendo litokee au lifanywe; kama si.

    ‘Nisingekuja thama na habari nilizopata’
    ila

Asili

Kar

Matamshi

thama

/θama/