Ufafanuzi wa theluji katika Kiswahili

theluji

nominoPlural theluji

  • 1

    maji ya mvua yaliyoganda kwa baridi na ambayo hayajawa barafu kamili bali huwa ungaunga kama chicha za nazi.

Asili

Kar

Matamshi

theluji

/θɛluʄi/