Ufafanuzi wa thibiti katika Kiswahili

thibiti

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa ya kweli; kuwa ya kuaminika.

    ‘Habari hii imethibiti’

Asili

Kar

Matamshi

thibiti

/θibiti/