Ufafanuzi wa thieta katika Kiswahili

thieta

nomino

  • 1

    chumba maalumu kinachotumiwa kuwafanyia wagonjwa operesheni.

Asili

Kng

Matamshi

thieta

/θiɛta/