Ufafanuzi wa tijara katika Kiswahili

tijara

nomino

  • 1

    ziada inayopatikana katika biashara.

    faida

Asili

Kar

Matamshi

tijara

/tiʄara/