Ufafanuzi wa tikitiki katika Kiswahili

tikitiki

kielezi

  • 1

    -liyo ungaunga au laini kwa sababu ya kupondwa au kuvurugika.

    ‘Nyumba ilikuwa tikitiki baada ya kuangukiwa na mti’

Matamshi

tikitiki

/tikitiki/