Ufafanuzi wa tipa katika Kiswahili
tipa
nominoPlural tipa
- 1
lori lenye sehemu ya nyuma inayoweza kuinuliwa kihaidroliki na kutelezesha chini shehena ya k.v. mchanga, mawe, vifusi, madini, n.k., inayosafirishwa kutoka au kwenda maeneo ya ujenzi au migodi.