Ufafanuzi wa tisa katika Kiswahili

tisa

nomino

  • 1

    tarakimu ‘9’ au idadi ya hesabu baina ya nane na kumi.

    kenda

Asili

Kar

Matamshi

tisa

/tisa/