Ufafanuzi wa tishika katika Kiswahili

tishika

kitenzi sielekezi

  • 1

    ingiwa na hofu kwamba jambo baya laweza kutokea.

    ogopa

Matamshi

tishika

/ti∫ika/