Ufafanuzi wa tokeo katika Kiswahili

tokeo

nominoPlural matokeo

  • 1

    jambo au hali inayofuata au kuletwa na tendo au hali fulani.

    ‘Fedha ni matokeo , si msingi wa maendeleo’

Matamshi

tokeo

/tɔkɛɔ/