Ufafanuzi wa tokeza katika Kiswahili

tokeza

kitenzi sielekezi~ea

  • 1

    toka na onekana kwa sehemu ya kitu ilhali sehemu kubwa haionekani.

    chomoza

Matamshi

tokeza

/tɔkɛza/