Ufafanuzi wa tokomeza katika Kiswahili

tokomeza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~ewa, ~wa

  • 1

    fanya kitu au mtu apotelee mbali na asionekane tena.

Matamshi

tokomeza

/tɔkɔmɛza/