Ufafanuzi msingi wa topoa katika Kiswahili

: topoa1topoa2

topoa1

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha, ~leka, ~lesha

  • 1

    toa kitu k.v. ugonjwa au sumu katika mwili ili kuponya.

    opoa, agua, gangua

Matamshi

topoa

/tɔpɔwa/

Ufafanuzi msingi wa topoa katika Kiswahili

: topoa1topoa2

topoa2

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lea, ~leana, ~lewa, ~sha, ~leka, ~lesha

  • 1

    tia alama katika ardhi kwa kulima kidogo ili mwingine asilime mahali hapo.

    aua

Matamshi

topoa

/tɔpɔwa/