Ufafanuzi wa tovu katika Kiswahili

tovu

nominoPlural matovu

  • 1

    nakshi ya madini k.v. fedha au shaba, yenye umbo la kitovu inayowekwa mlangoni.

Matamshi

tovu

/tɔvu/