Ufafanuzi wa tufaa katika Kiswahili

tufaa, tofaa

nominoPlural matufaa

  • 1

    tunda la duara lenye ganda la kijani au jekundu na nyama nyeupe na ni tamu.

Asili

Kar

Matamshi

tufaa

/tufa:/