Ufafanuzi wa tufu katika Kiswahili

tufu

kitenzi sielekezi~ia

Kidini
  • 1

    Kidini
    zunguka kandokando ya kitu k.v. Kaaba mara saba wanavyofanya mahujaji wanapokwenda kuhiji Makka.

    ‘Tufu Kaaba’

Asili

Kar

Matamshi

tufu

/tufu/