Ufafanuzi wa tukwa katika Kiswahili

tukwa

nomino

  • 1

    mojawapo ya tezi mbili zilizoko shingoni chini ya taya.

Matamshi

tukwa

/tukwa/