Ufafanuzi wa tuli katika Kiswahili

tuli

kielezi

  • 1

    kwa utulivu; bila ya kutukutika.

    ‘Ametulia tuli kama maji mtungini’

Matamshi

tuli

/tuli/