Ufafanuzi wa tuma katika Kiswahili

tuma

kitenzi elekezi

  • 1

    agiza mtu kufanya jambo fulani.

    ‘Nimemtuma dukani’

  • 2

    peleka kitu k.v. barua au salamu, kwa njia ya posta au redio.

Matamshi

tuma

/tuma/