Ufafanuzi wa tumbo katika Kiswahili

tumbo

nominoPlural matumbo

 • 1

  sehemu ya kiwiliwili iliyo kati ya kifua na kinena.

 • 2

  sehemu yenye umbo kama la mfuko iliyomo ndani ya mwili wa kiumbe k.v. mtu au mnyama, ambayo hufanya kazi ya kupokea chakula na kukisaga.

 • 3

  uzao

 • 4

  undani.

Matamshi

tumbo

/tumbɔ/