Ufafanuzi wa tumbuiza katika Kiswahili

tumbuiza

kitenzi elekezi

  • 1

    burudisha au starehesha kwa muziki au nyimbo.

Matamshi

tumbuiza

/tumbuIza/