Ufafanuzi wa tumburujika katika Kiswahili

tumburujika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    tumbuka maji au usaha baada ya kuiva sana na kukaribia kuoza.

    ‘Nyanya zimetumburujika’

Matamshi

tumburujika

/tumburuʄika/