Ufafanuzi wa tunduizi katika Kiswahili

tunduizi

kivumishi

  • 1

    -enye tabia ya kuangalia kwa makini.

  • 2

    -enye tabia ya kupeleleza.

    ‘Mbona u mtunduizi hivyo?’

Matamshi

tunduizi

/tunduIzi/