Ufafanuzi wa tutika katika Kiswahili

tutika

kitenzi elekezi

  • 1

    weka vitu vingi pamoja; rundika.

  • 2

    beba vitu vizito.

    tuta

Matamshi

tutika

/tutika/