Ufafanuzi wa twika katika Kiswahili

twika, twisha

kitenzi elekezi

  • 1

    inua kitu k.v. mzigo na kukiweka juu ya kichwa cha mtu mwingine au mgongo wa mnyama.

    ‘Amemtwika mzigo kichwani’
    bandika